Church Planting Part 1

Kama kuna mahali ambapo huwa twapenda kufika kila mwisho wa juma, ni kanisani. Kuna stress nyingi sana ambazo huwa twazisahau pindi tu tufikapo kanisani, ndiyo maana, tumekuwa na uwezo wa kuyaandika haya makala tukiwakaribisha wote walio na uwezo wa kusoma kuwa wawe watu wa akili.

Itanibidi tuutaje upumbavu unaoudhi ambao unaendelezwa na vijana wengi ambao hawana mda wa kumtafuta Mungu. wengi wao wanapenda kuzikiza jumbe kwa vyombo vya habari haswa televisheni , kando na redio. Hawa wapumbavu hupata swala la kushirikiana na wenzio jinsi Mungu ameagiza kuwa gumu. Utawasikia wakisema kuwa wamebarikiwa sana na kipindi, what a measure of foolishness! kwani kuna jinsi ya kupima kama umebarikiwa au la? Kuzuzuliwa hisia hakumaanishi baraka!

For the sake of your own good, tafuta mlango wa kanisa la sabato. Wewe ukaaye nyumbani unafananishwa na yule mtumishi mpumbavu ambaye alificha talanta yake. (Tazama Matthew 25:14-30).

Kama hujui, ni vibaya sana kwako kwenda kwa shughuli zako siku ya sabato, unatoroka kanisani unakostahili kuwa, ili kuifinyilia chini talanta yako isije ikaonekana, wengine mwakimbilia biashara au fedha na hayo yote mwaambulia patupu. Mweke Mungu Mbele. Matthew 6:33. Vijana wanastahili wakae chini naye Mungu awafunulie wazee Mausia muhimu wawafunze wale vijana, lakini vijana wenyewe hawako so, Kama hutaki advice ya Mungu ambayo atakupa specifically – yani fit for you – wala si ya umati, do you think blessings zitaflow into the world by you? ACHENI UJINGA, ENDA KANISANI.

Nao wachungaji, mnaudhi wakati mnaanza kuturingia kanisani, mkituhesabia idadi ya makanisa ambayo mlishiriki tu ufunguzi ambayo Mungu mwenyewe alikususudia kuyafungua na kwa nguvu zake, akayafungua, PIA KUNA MENGINE AMBAYO TAMAA ZENU HUWAFANYA MSHINIKIZE YAFUNGULIWE. Kwa nini mna-brag. Nimeenda kanisani nisikie ujumbe wa matumaini katika maisha haya ya changamoto nyingi, na eti Pastor anatoa ripoti jinsi amefanya kazi kwa masaa mawili, truly!? Nitaimba tu hizo nyimbo na baada ya ombi la mwisho wa sermon, ambayo itakuwa tu hivihivi, hutaniona tena. Umetoa hiyo hotuba yote ya kujisifu ukiwaudhi vijana ambao wametarajia wapate advice kwako halafu uexpect waipende kazi yako? No. Acheni kutumia masaa mengi kwa matangazo, mnamuudhi MUNGU. God is Expecting to hear Pleas from His children

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *