Kuongea Mbele ya Umati

Watu wengi huwa waoga kuongea mbele ya umati. Wakati uendapo kuongea kwenye umati kwa mara ya kwanza unaweza kosea ila upatapo fursa tena unaanza kuwa na ukakamafu.

Kama kuna mahali ambapo wengi wamekosea ni kule kuwapa watoto kipaumbele na kuwanyima fursa watu fulani fulani katika kanisa.

Christianity is abused by many wayward children

Katika Vitabu vya vya Roho ya unabii, Onyo limetolewa dhidi ya kuwaachilia vijana wadogo washiriki kazi mbele ya umati. Utakubaliana nami kuwa watoto bado hawajaingiliana sana na maisha magumu ya duniani kumaanisha kuwa bado hawajafanya uamuzi kamili wa kumfwata Mungu.

Kuna mifano mingi tu ya wale ambao wameasi dini pindi tu walipokuwa wakubwa kwa sababu ya kulegea kiimani baada ya kusongwa na changamoto. Ati boys wadogo wawe preachers on pulpits kwa msisimko tu na Small girls kuwa songstresses eti kwa kigezo cha sauti, No.

Let the kids learn God’s way first in the right churches that uphold God’s standards. Let these kids stand the taste of time and the right time God shall open ways to serve Him else it is a matter of time and the kids will do something contrary to God’s ways and they will end up ‘hiding from God’.B

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *