Uwe mjasiri

Tenda mema yote ambayo unaweza tenda

Katika njia njema zote unazoweza kutumia

Po pote pale unaweza ukafika

Kwa watu wote unaoweza kuwafikia

Kwa sababu Mungu amekupa uwezo.

Uwe mjasiri

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *